Isaya 5:20
Isaya 5:20 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ole wao wasemao kwamba uovu ni wema, na kwamba wema ni uovu; watiao giza badala ya nuru, na nuru badala ya giza; watiao uchungu badala ya utamu, na utamu badala ya uchungu!
Shirikisha
Soma Isaya 5Isaya 5:20 Biblia Habari Njema (BHN)
Ole wao wanaosema uovu ni wema na wema ni uovu. Giza wanasema ni mwanga na mwanga wanasema ni giza. Kichungu wanasema ni kitamu na kitamu wanakiona kuwa kichungu.
Shirikisha
Soma Isaya 5