Isaya 5:22 - Linganisha Matoleo Yote
Isaya 5:22 BHN (Biblia Habari Njema)
Ole wao mabingwa wa kunywa divai, hodari sana wa kuchanganya vileo.
Shirikisha
Isaya 5 BHNIsaya 5:22 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ole wao walio hodari kunywa kileo chenye nguvu, watu waume wenye nguvu kuchanganya vileo
Shirikisha
Isaya 5 SUVIsaya 5:22 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Ole wao walio hodari kunywa kileo chenye nguvu, na walio hodari wa kuchanganya vileo
Shirikisha
Isaya 5 SRUVIsaya 5:22 NEN (Neno)
Ole wao walio mashujaa kwa kunywa mvinyo, nao walio hodari katika kuchanganya vileo
Shirikisha
Isaya 5 NEN