Isaya 50:10
Isaya 50:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Nani kati yenu amchaye Mwenyezi-Mungu? Nani anayetii maneno ya mtumishi wake? Kama yupo atembeaye gizani bila taa, amtumainie Mwenyezi-Mungu, na kumtegemea Mungu wake.
Shirikisha
Soma Isaya 50Isaya 50:10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ni nani miongoni mwenu amchaye BWANA, aitiiye sauti ya mtumishi wake? Yeye aendaye katika giza, wala hana nuru, naye alitumainia jina la BWANA, na kumtegemea Mungu wake.
Shirikisha
Soma Isaya 50