Isaya 50:7
Isaya 50:7 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Maana Bwana MUNGU atanisaidia; kwa sababu hiyo sikutahayari, kwa sababu hiyo nimekaza uso wangu kama gumegume, nami najua ya kuwa sitaona haya.
Shirikisha
Soma Isaya 50Isaya 50:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Bwana Mungu hunisaidia, kwa hiyo siwezi kufadhaika. Uso wangu nimeukaza kama jiwe; najua kwamba sitaaibishwa.
Shirikisha
Soma Isaya 50