Isaya 51:11
Isaya 51:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nao waliokombolewa na BWANA watarejea, Watafika Sayuni, wakiimba; Furaha ya milele itakuwa juu ya vichwa vyao; Watapata shangwe na furaha; Huzuni na kuugua zitakimbia.
Shirikisha
Soma Isaya 51Isaya 51:11 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)

Soma Isaya 51