Isaya 54:12
Isaya 54:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Minara yako nitaijenga kwa mawe ya akiki, malango yako kwa almasi, na ukuta wako kwa mawe ya thamani.
Shirikisha
Soma Isaya 54Isaya 54:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nami nitaifanya minara yako ya akiki nyekundu, na malango yako ya almasi, na mipaka yako yote ya mawe yapendezayo.
Shirikisha
Soma Isaya 54