Isaya 54:17
Isaya 54:17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kila silaha itengenezwayo juu yako haitafanikiwa, na kila ulimi utakaoinuka juu yako katika hukumu utauhukumu kuwa mkosa. Huu ndio urithi wa watumishi wa BWANA, na haki yao inayotoka kwangu mimi, asema BWANA.
Shirikisha
Soma Isaya 54Isaya 54:17 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Hakuna silaha itakayofanyizwa dhidi yako itakayofanikiwa, nawe utauthibitisha kuwa mwongo kila ulimi utakaokushtaki. Huu ndio urithi wa watumishi wa BWANA na hii ndiyo haki yao itokayo kwangu,” asema BWANA.
Shirikisha
Soma Isaya 54Isaya 54:17 Biblia Habari Njema (BHN)
Silaha zote zilizoundwa kukudhuru wewe hazitafaa chochote kile. Mtu akikushtaki mahakamani, utamshinda. Hilo ndilo fungu nililowapangia watumishi wangu. Hizo ndizo haki nilizowathibitishia. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.
Shirikisha
Soma Isaya 54