Isaya 54:2
Isaya 54:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Panua mahali pa hema yako, na wayatandaze mapazia ya maskani yako; usiwakataze; ongeza urefu wa kamba zako; vikaze vigingi vya hema yako.
Shirikisha
Soma Isaya 54Isaya 54:2 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
“Panua mahali pa hema lako, tandaza mapazia ya hema lako uyaeneze mbali, wala usiyazuie; ongeza urefu wa kamba zako, imarisha vigingi vyako.
Shirikisha
Soma Isaya 54