Isaya 54:5
Isaya 54:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Muumba wako atakuwa mume wako; Mwenyezi-Mungu wa majeshi, ndilo jina lake, Mtakatifu wa Israeli ndiye Mkombozi wako; yeye aitwa ‘Mungu wa ulimwengu wote’.
Shirikisha
Soma Isaya 54Isaya 54:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa sababu Muumba wako ni mume wako; BWANA wa majeshi ndilo jina lake; na Mtakatifu wa Israeli ndiye Mkombozi wako; Yeye ataitwa Mungu wa dunia yote.
Shirikisha
Soma Isaya 54