Isaya 54:7
Isaya 54:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa kitambo kidogo nimekuacha; lakini kwa rehema nyingi nitakurudisha.
Shirikisha
Soma Isaya 54Isaya 54:7 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
“Kwa kitambo kidogo nilikuacha, lakini kwa huruma nyingi nitakurudisha.
Shirikisha
Soma Isaya 54