Isaya 54:8
Isaya 54:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa ghadhabu ifurikayo nilikuficha uso wangu dakika moja; lakini kwa fadhili za milele nitakurehemu, asema BWANA, Mkombozi wako.
Shirikisha
Soma Isaya 54Isaya 54:8 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Katika ukali wa hasira nilikuficha uso wangu kwa kitambo, lakini kwa fadhili za milele nitakuwa na huruma juu yako,” asema BWANA Mkombozi wako.
Shirikisha
Soma Isaya 54