Isaya 54:9
Isaya 54:9 Biblia Habari Njema (BHN)
“Nitafanya kama nilivyofanya wakati wa Noa: Wakati ule niliapa kwamba sitaifunika tena ardhi kwa gharika. Basi sasa naapa kwamba sitakukasirikia tena wala sitakukemea tena.
Shirikisha
Soma Isaya 54Isaya 54:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa maana jambo hili limekuwa kama maji ya Nuhu kwangu; maana kama nilivyoapa ya kwamba maji ya Nuhu hayatapita juu ya dunia tena, kadhalika nimeapa ya kwamba sitakuonea hasira, wala kukukemea.
Shirikisha
Soma Isaya 54