Isaya 56:1
Isaya 56:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu asema: “Zingatieni haki na kutenda mema, maana nitawaokoeni hivi karibuni, watu wataona wazi kwamba ninawakomboeni.
Shirikisha
Soma Isaya 56Isaya 56:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA asema hivi, Shikeni hukumu, mkatende haki; kwa maana wokovu wangu uko karibu kuja, na haki yangu kufunuliwa.
Shirikisha
Soma Isaya 56