Isaya 58:12
Isaya 58:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na watu wako watapajenga mahali palipokuwa ukiwa; utaiinua misingi ya vizazi vingi; nawe utaitwa, Mwenye kutengeneza mahali palipobomoka; na, Mwenye kurejesha njia za kukaa.
Shirikisha
Soma Isaya 58Isaya 58:12 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Watu wako watajenga tena magofu ya zamani na kuinua misingi ya kale; utaitwa Mwenye Kukarabati Kuta Zilizobomoka, Mwenye Kurejeza Barabara za Makao.
Shirikisha
Soma Isaya 58