Isaya 59:19
Isaya 59:19 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Kuanzia magharibi, watu wataliogopa jina la BWANA na kuanzia mawio ya jua, watauheshimu utukufu wake. Wakati adui atakapokuja kama mafuriko, Roho wa BWANA atainua kiwango dhidi yake na kumshinda.
Shirikisha
Soma Isaya 59Isaya 59:19 Biblia Habari Njema (BHN)
Toka magharibi hadi mashariki, kila mtu atamcha Mwenyezi-Mungu na kutambua utukufu wake. Maana atakuja kama mto uendao kasi, mto unaosukumwa kwa upepo wa Mwenyezi-Mungu.
Shirikisha
Soma Isaya 59