Isaya 61:3
Isaya 61:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
kuwaagizia hao waliao katika Sayuni, wapewe taji la maua badala ya majivu, mafuta ya furaha badala ya maombolezo, vazi la sifa badala ya roho nzito; wapate kuitwa miti ya haki, iliyopandwa na BWANA, ili atukuzwe.
Shirikisha
Soma Isaya 61Isaya 61:3 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
kuwaagizia hao waliao katika Sayuni, wapewe taji ya maua badala ya majivu, mafuta ya furaha badala ya maombolezo, vazi la sifa badala ya roho nzito; wapate kuitwa miti ya haki, iliyopandwa na BWANA, ili atukuzwe.
Shirikisha
Soma Isaya 61Isaya 61:3 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
na kuwapa mahitaji wale wanaohuzunika katika Sayuni, ili kuwapa taji ya uzuri badala ya majivu, mafuta ya furaha badala ya maombolezo, vazi la sifa badala ya roho ya kukata tamaa. Nao wataitwa mialoni ya haki, pando la BWANA, ili kuonyesha utukufu wake.
Shirikisha
Soma Isaya 61