Isaya 61:6
Isaya 61:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Nanyi mtaitwa: “Makuhani wa Mwenyezi-Mungu”, Mtaitwa: “Watumishi wake Mungu wetu”. Mtafaidika kwa utajiri wa mataifa, mtatukuka kwa mali zao.
Shirikisha
Soma Isaya 61Isaya 61:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Bali ninyi mtaitwa makuhani wa BWANA; watu watawaiteni wahudumu wa Mungu wetu; mtakula utajiri wa mataifa, na kujisifia utukufu wao.
Shirikisha
Soma Isaya 61