Isaya 61:8
Isaya 61:8 Biblia Habari Njema (BHN)
“Mimi Mwenyezi-Mungu napenda haki; nachukia unyanganyi na uhalifu. Nitawatuza watu wangu kwa uaminifu, nitafanya nao agano la milele.
Shirikisha
Soma Isaya 61Isaya 61:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana mimi, BWANA, naipenda hukumu ya haki, nauchukia wizi na uovu; nami nitawalipa malipo katika kweli, nitaagana nao agano la milele.
Shirikisha
Soma Isaya 61