Isaya 62:3
Isaya 62:3 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Utakuwa taji ya fahari mkononi mwa BWANA, taji ya kifalme mkononi mwa Mungu wako.
Shirikisha
Soma Isaya 62Isaya 62:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Utakuwa taji zuri mkononi mwa Mwenyezi-Mungu; kilemba cha kifalme mkononi mwa Mungu wako.
Shirikisha
Soma Isaya 62