Isaya 62:4
Isaya 62:4 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Hawatakuita tena Aliyeachwa, wala nchi yako kuiita Ukiwa. Bali utaitwa Hefsiba, nayo nchi yako itaitwa Beula, kwa maana BWANA atakufurahia, nayo nchi yako itaolewa.
Shirikisha
Soma Isaya 62Isaya 62:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Hutaitwa tena: “Aliyeachwa”, wala nchi yako haitaitwa: “Ukiwa”. Bali utaitwa: “Namfurahia,” na nchi yako itaitwa: “Aliyeolewa.” Maana Mwenyezi-Mungu amependezwa nawe, naye atakuwa kama mume wa nchi yako.
Shirikisha
Soma Isaya 62