Isaya 62:5
Isaya 62:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Maana kama kijana mwanamume amwoavyo msichana, ndivyo aliyekujenga atakavyokuwa mume wako. Kama bwana arusi afurahivyo juu ya bibi arusi, ndivyo Mungu atakavyofurahi juu yako.
Shirikisha
Soma Isaya 62Isaya 62:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana kama vile kijana amwoavyo mwanamwali, ndivyo wana wako watakavyokuoa wewe; na kama vile bwana arusi amfurahiavyo bibi arusi, ndivyo Mungu wako atakavyokufurahia wewe.
Shirikisha
Soma Isaya 62