Isaya 64:4
Isaya 64:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Tangu kale hakuna aliyepata kuona wala kusikia kwa masikio yake; hakuna aliyepata kumwona Mungu aliye kama wewe atendaye mambo kwa ajili ya wale wanaomtegemea!
Shirikisha
Soma Isaya 64Isaya 64:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana tangu zamani za kale watu hawakusikia, wala kufahamu kwa masikio, wala jicho halikuona Mungu, ila wewe, atendaye mambo kwa ajili yake amngojaye.
Shirikisha
Soma Isaya 64