Isaya 64:8
Isaya 64:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Hata hivyo, ee Mwenyezi-Mungu, wewe ni Baba yetu. Sisi ni kama udongo, wewe ni mfinyanzi. Sisi sote ni kazi ya mikono yako.
Shirikisha
Soma Isaya 64Isaya 64:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini sasa, Ee BWANA, wewe u baba yetu; sisi tu udongo, nawe u mfinyanzi wetu; sisi sote tu kazi ya mikono yako.
Shirikisha
Soma Isaya 64