Isaya 65:19
Isaya 65:19 Biblia Habari Njema (BHN)
Nami nitaufurahia mji wa Yerusalemu, nitawafurahia watu wangu. Sauti ya kilio haitasikika tena, kilio cha taabu hakitakuwako.
Shirikisha
Soma Isaya 65Isaya 65:19 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nami nitaufurahia Yerusalemu, nitawaonea shangwe watu wangu; sauti ya kulia haitasikika ndani yake tena, wala sauti ya kuomboleza.
Shirikisha
Soma Isaya 65