Isaya 7:14
Isaya 7:14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa hiyo Bwana mwenyewe atawapa ishara. Tazama, bikira atachukua mimba, atazaa mtoto wa kiume, naye atamwita jina lake Imanueli.
Shirikisha
Soma Isaya 7Isaya 7:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Haya basi, Bwana mwenyewe atawapa ishara: Msichana atachukua mimba, atajifungua mtoto wa kiume na kumwita jina lake Emanueli.
Shirikisha
Soma Isaya 7Isaya 7:14 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kwa hiyo Bwana mwenyewe atawapa ishara. Tazama, bikira atachukua mimba, atazaa mtoto mwanamume, naye atamwita jina lake Imanueli.
Shirikisha
Soma Isaya 7