Yakobo 1:12
Yakobo 1:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Heri mtu astahimiliye majaribu; kwa sababu akiisha kukubaliwa ataipokea taji la uzima, Bwana aliyowaahidia wampendao.
Shirikisha
Soma Yakobo 1Yakobo 1:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Heri mtu anayebaki mwaminifu katika majaribu, kwani akisha stahimili, atapewa tuzo la uhai ambalo Mungu aliwaahidi wale wanaompenda.
Shirikisha
Soma Yakobo 1Yakobo 1:12 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Heri mtu astahimiliye majaribu; kwa sababu akiisha kukubaliwa ataipokea taji ya uzima, Bwana aliyowaahidia wampendao.
Shirikisha
Soma Yakobo 1