Yakobo 1:19
Yakobo 1:19 Biblia Habari Njema (BHN)
Ndugu zangu wapenzi, kumbukeni jambo hili! Kila mtu na awe mwepesi wa kusikia lakini si mwepesi wa kusema wala mwepesi wa kukasirika.
Shirikisha
Soma Yakobo 1Yakobo 1:19 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hayo mnajua, ndugu zangu wapenzi. Basi kila mtu na awe mwepesi wa kusikia, bali si mwepesi wa kusema; wala kukasirika
Shirikisha
Soma Yakobo 1Yakobo 1:19 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Hayo mnajua, ndugu zangu wapenzi. Basi kila mtu na awe mwepesi wa kusikia, bali si mwepesi wa kusema; wala kukasirika
Shirikisha
Soma Yakobo 1