Yakobo 1:21
Yakobo 1:21 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa hiyo, tupilieni mbali mwenendo mchafu na tabia zote mbovu; jiwekeni chini ya Mungu na kupokea lile neno lililopandwa mioyoni mwenu, ambalo laweza kuziokoa nafsi zenu.
Shirikisha
Soma Yakobo 1Yakobo 1:21 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kwa hiyo wekeeni mbali uchafu wote na ubaya uzidio, na kupokea kwa upole neno lile lililopandwa ndani, liwezalo kuziokoa roho zenu.
Shirikisha
Soma Yakobo 1Yakobo 1:21 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa hiyo wekeeni mbali uchafu wote na ubaya uzidio, na kupokea kwa upole neno lile lililopandwa ndani, liwezalo kuziokoa roho zenu.
Shirikisha
Soma Yakobo 1