Yakobo 1:22
Yakobo 1:22 Biblia Habari Njema (BHN)
Msijidanganye wenyewe kwa kusikiliza tu neno lake, bali litekelezeni kwa vitendo.
Shirikisha
Soma Yakobo 1Yakobo 1:22 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Lakini iweni watendaji wa neno, wala si wasikiaji tu, hali mkijidanganya nafsi zenu.
Shirikisha
Soma Yakobo 1