Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yakobo 1:3 - Linganisha Matoleo Yote

Yakobo 1:3 BHN (Biblia Habari Njema)

kwani mwajua kwamba imani yenu ikisha stahimili, itawapatieni uvumilivu.

Shirikisha
Yakobo 1 BHN

Yakobo 1:3 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

mkifahamu ya kuwa kujaribiwa kwa imani yenu huleta saburi.

Shirikisha
Yakobo 1 SUV

Yakobo 1:3 SRUV (Swahili Revised Union Version)

mkifahamu ya kuwa kujaribiwa kwa imani yenu huleta saburi.

Shirikisha
Yakobo 1 SRUV

Yakobo 1:3 NEN (Neno)

kwa sababu mnajua ya kuwa kujaribiwa kwa imani yenu huleta saburi.

Shirikisha
Yakobo 1 NEN