Yakobo 1:5
Yakobo 1:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini mmoja wenu akipungukiwa na hekima, na aombe dua kwa Mungu, awapaye wote, kwa ukarimu, wala hakemei; naye atapewa.
Shirikisha
Soma Yakobo 1Yakobo 1:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini kama mmoja wenu ametindikiwa hekima, basi, anapaswa kumwomba Mungu ambaye atampatia; kwani Mungu huwapa wote kwa wingi na kwa ukarimu.
Shirikisha
Soma Yakobo 1