Yakobo 2:22
Yakobo 2:22 Biblia Habari Njema (BHN)
Waona, basi, kwamba imani yake iliandamana na matendo yake; imani yake ilikamilishwa kwa matendo yake.
Shirikisha
Soma Yakobo 2Yakobo 2:22 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Waona kwamba imani ilitenda kazi pamoja na matendo yake, na ya kwamba imani ile ilikamilishwa kwa njia ya matendo yale.
Shirikisha
Soma Yakobo 2