Yakobo 4:14
Yakobo 4:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Nyinyi hamjui hata maisha yenu yatakavyokuwa kesho! Nyinyi ni kama ukungu unaotokea kwa muda mfupi tu na kutoweka tena.
Shirikisha
Soma Yakobo 4Yakobo 4:14 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Lakini hamjui hata litakalotukia kesho. Maisha yenu ni nini? Ninyi ni ukungu ambao huonekana kwa kitambo kidogo kisha hutoweka.
Shirikisha
Soma Yakobo 4