Yakobo 5:13
Yakobo 5:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Je, pana mtu yeyote miongoni mwenu aliye na shida? Anapaswa kusali. Je, yuko mwenye furaha? Anapaswa kuimba nyimbo za sifa.
Shirikisha
Soma Yakobo 5Yakobo 5:13 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Je, mtu yeyote miongoni mwenu amepatwa na taabu? Basi inampasa aombe. Je, kuna yeyote mwenye furaha? Basi na aimbe nyimbo za kusifu.
Shirikisha
Soma Yakobo 5