Yakobo 5:14
Yakobo 5:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Je, yuko mgonjwa kati yenu? Anapaswa kuwaita wazee wa kanisa, nao watamwombea na kumpaka mafuta kwa jina la Bwana.
Shirikisha
Soma Yakobo 5Yakobo 5:14 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Je, kuna yeyote miongoni mwenu aliye mgonjwa? Basi inampasa awaite wazee wa kanisa wamwombee na kumpaka mafuta kwa Jina la Bwana.
Shirikisha
Soma Yakobo 5