Yakobo 5:16
Yakobo 5:16 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, ungamanieni dhambi zenu, na ombeaneni, ili mpate kuponywa. Sala ya mtu mwema ina nguvu ya kutenda mengi.
Shirikisha
Soma Yakobo 5Yakobo 5:16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi ungameni dhambi zenu ninyi kwa ninyi, na kuombeana, ili mpate kuponywa. Sala yake mwenye haki ina nguvu nyingi, na hutenda mengi.
Shirikisha
Soma Yakobo 5Yakobo 5:16 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Ungameni dhambi zenu ninyi kwa ninyi, na kuombeana, mpate kuponywa. Kuomba kwake mwenye haki kwafaa sana, akiomba kwa bidii.
Shirikisha
Soma Yakobo 5