Waamuzi 14:6
Waamuzi 14:6 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Roho wa BWANA akaja juu yake kwa nguvu, naye akampasua yule simba kwa mikono yake bila silaha yoyote kama vile mtu ampasuavyo mwana-mbuzi, wala hakumwambia baba yake wala mama yake aliyoyafanya.
Shirikisha
Soma Waamuzi 14Waamuzi 14:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, roho ya Mwenyezi-Mungu ikamwingia Samsoni kwa nguvu, akamrarua simba huyo kama mtu araruavyo mwanambuzi. Naye Samsoni hakuwaambia wazazi wake kisa hicho.
Shirikisha
Soma Waamuzi 14