Waamuzi 7:3
Waamuzi 7:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi sasa enda, tangaza habari masikioni mwa watu hawa, na kusema, Mtu yeyote anayeogopa na kutetemeka, na arudi aondoke katika mlima wa Gileadi. Ndipo watu elfu ishirini na mbili wakarudi katika watu hao, wakabaki watu elfu kumi.
Shirikisha
Soma Waamuzi 7Waamuzi 7:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Sasa watangazie watu wote kwamba mtu yeyote aliye mwoga au anayetetemeka arudi nyumbani kwake.” Basi, Gideoni aliwajaribu, na watu 22,000 wakarudi nyumbani akabaki na watu 10,000.
Shirikisha
Soma Waamuzi 7Waamuzi 7:3 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Basi sasa enda, tangaza habari masikioni mwa watu hawa, na kusema, Mtu awaye yote anayeogopa na kutetemeka, na arudi aondoke katika mlima wa Gileadi. Ndipo watu ishirini na mbili elfu wakarudi katika watu hao, wakabaki watu elfu kumi.
Shirikisha
Soma Waamuzi 7