Yeremia 12:1
Yeremia 12:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wewe u mwenye haki, Ee BWANA, nitetapo nawe, lakini nitasema nawe katika habari ya haki. Mbona njia ya wabaya inasitawi? Mbona wote watendao hila wanakaa salama?
Shirikisha
Soma Yeremia 12Yeremia 12:1 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Wewe u mwenye haki, Ee BWANA, nitetapo nawe, lakini nitasema nawe katika habari ya haki. Mbona njia ya wabaya inasitawi? Mbona wote watendao hila wanakaa salama?
Shirikisha
Soma Yeremia 12