Yeremia 12:2
Yeremia 12:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Unawaotesha nao wanaota; wanakua na kuzaa matunda. Wanakutaja kwa maneno yao, lakini mioyo yao iko mbali nawe.
Shirikisha
Soma Yeremia 12Yeremia 12:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Umewapanda, naam, wametia mizizi, wanakua, naam, wanazaa matunda; katika vinywa vyao u karibu, bali katika mioyo yao u mbali.
Shirikisha
Soma Yeremia 12