Yeremia 14:20-21
Yeremia 14:20-21 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Ee BWANA, tunakiri uovu wetu, na ubaya wa baba zetu; maana tumekutenda dhambi. Usituchukie, kwa ajili ya jina lako; usikifedheheshe kiti cha enzi cha utukufu wako, kumbuka, usilivunje agano ulilofanya nasi.
Shirikisha
Soma Yeremia 14Yeremia 14:20-21 Biblia Habari Njema (BHN)
Tunakiri uovu wetu, ee Mwenyezi-Mungu, tunakiri uovu wa wazee wetu, maana, tumekukosea wewe. Usitutupe, kwa heshima ya jina lako; usikidharau kiti chako cha enzi kitukufu. Ukumbuke agano ulilofanya nasi, wala usilivunje.
Shirikisha
Soma Yeremia 14