Yeremia 14:7
Yeremia 14:7 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Ijapokuwa maovu yetu yanatushuhudia, lakini utende wewe kwa ajili ya jina lako, Ee BWANA, maana kurudi nyuma kwetu ni kwingi; tumekutenda dhambi.
Shirikisha
Soma Yeremia 14Yeremia 14:7 Biblia Habari Njema (BHN)
“Nao watu wanasema: Ingawa dhambi zetu zashuhudia dhidi yetu, utusaidie ee Mwenyezi-Mungu kwa heshima ya jina lako. Maasi yetu ni mengi, tumetenda dhambi dhidi yako.
Shirikisha
Soma Yeremia 14