Yeremia 17:9
Yeremia 17:9 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Moyo huwa mdanganyifu kuliko vitu vyote, una ugonjwa wa kufisha; nani awezaye kuujua?
Shirikisha
Soma Yeremia 17Yeremia 17:9 Biblia Habari Njema (BHN)
“Moyo wa mtu ni mdanganyifu kuliko vitu vyote; hauwezi kuponywa, hakuna awezaye kuuelewa!
Shirikisha
Soma Yeremia 17