Yeremia 19:4
Yeremia 19:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa maana watu wameniacha mimi na kupatia unajisi mahali hapa kwa kufukizia ubani miungu mingine; miungu ambayo wao wenyewe, wazee wao wala wafalme wa Yuda hawajapata kuijua. Pia wamepajaza mahali hapa damu ya watu wasio na hatia
Shirikisha
Soma Yeremia 19Yeremia 19:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa sababu wameniacha mimi, nao wamepafanya mahali hapa kuwa mahali pageni, nao hapa wamewafukizia uvumba miungu mingine wasiowajua, wala wao, wala baba zao, wala wafalme wa Yuda; nao wamepajaza mahali hapa damu ya wasio na hatia
Shirikisha
Soma Yeremia 19Yeremia 19:4 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kwa sababu wameniacha mimi, nao wamepafanya mahali hapa kuwa mahali pageni, nao hapa wamewafukizia uvumba miungu mingine wasiowajua, wala wao, wala baba zao, wala wafalme wa Yuda; nao wamepajaza mahali hapa damu ya wasio na hatia
Shirikisha
Soma Yeremia 19