Yeremia 19:5
Yeremia 19:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
nao wamemjengea Baali mahali pake palipo juu, ili kuwachoma moto wana wao, wawe sadaka za kuteketezwa kwa Baali; tendo nisiloliamuru mimi, wala kulinena, wala halikuingia moyoni mwangu
Shirikisha
Soma Yeremia 19Yeremia 19:5 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
nao wamemjengea Baali mahali pake palipo juu, ili kuwachoma moto wana wao, wawe sadaka za kuteketezwa kwa Baali; tendo nisiloliamuru mimi, wala kulinena, wala halikuingia moyoni mwangu
Shirikisha
Soma Yeremia 19