Yeremia 2:11
Yeremia 2:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwamba kuna taifa lililowahi kubadilisha miungu yake ingawa miungu hiyo si miungu! Lakini watu wangu wameniacha mimi, utukufu wao, wakafuata miungu isiyofaa kitu.
Shirikisha
Soma Yeremia 2Yeremia 2:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Je! Taifa wamebadili miungu yao, ingawa siyo miungu? Lakini watu wangu wameubadili utukufu wao kwa ajili ya kitu kisichofaidia.
Shirikisha
Soma Yeremia 2