Yeremia 2:13
Yeremia 2:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Maana, watu wangu wametenda maovu mawili; wameniacha mimi niliye chemchemi ya maji ya uhai, wakajichimbia visima vyao wenyewe, visima vyenye nyufa, visivyoweza kuhifadhi maji.
Shirikisha
Soma Yeremia 2Yeremia 2:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa maana watu wangu hawa wametenda maovu mawili; wameniacha mimi, niliye chemchemi ya maji ya uzima, wamejichimbia visima, visima vyenye nyufa visivyoweza kuweka maji.
Shirikisha
Soma Yeremia 2