Yeremia 2:19
Yeremia 2:19 Biblia Habari Njema (BHN)
Uovu wako utakuadhibu; na uasi wako utakuhukumu. Ujue na kutambua kuwa ni vibaya mno kuniacha mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, na kuondoa uchaji wangu ndani yako. Mimi Mwenyezi-Mungu wa majeshi nimesema.
Shirikisha
Soma Yeremia 2Yeremia 2:19 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Uovu wako mwenyewe utakurudi, maasi yako yatakukaripia; ujue, basi, ukaone, ya kuwa ni jambo baya sana na uchungu, kuwa umemwacha BWANA, Mungu wako, na ya kuwa moyoni mwako hamna kunihofu, asema Bwana, BWANA wa majeshi.
Shirikisha
Soma Yeremia 2Yeremia 2:19 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)

Soma Yeremia 2