Yeremia 20:13
Yeremia 20:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwimbieni Mwenyezi-Mungu; msifuni Mwenyezi-Mungu, kwani ameyaokoa maisha ya mhitaji, kutoka mikononi mwa watu waovu.
Shirikisha
Soma Yeremia 20Yeremia 20:13 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Mwimbieni BWANA; msifuni BWANA; Kwa maana ameiponya roho ya mhitaji Katika mikono ya watu watendao maovu.
Shirikisha
Soma Yeremia 20