Yeremia 21:14
Yeremia 21:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Nitawaadhibu kadiri ya matendo yenu; mimi Mwenyezi-Mungu nasema. Nitawasha moto katika msitu wenu nao utateketeza kila kitu kinachouzunguka.”
Shirikisha
Soma Yeremia 21Yeremia 21:14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nami nitawaadhibu kwa kadiri ya matendo yenu, asema BWANA; nami nitawasha moto katika msitu wake, nao utateketeza vitu vyote viuzungukavyo.
Shirikisha
Soma Yeremia 21